Toribio Romo

From Wikipedia, the free encyclopedia

Toribio Romo
Remove ads

Toribio Romo (jina kamili kwa Kihispania Toribio Romo González; Santa Ana de Guadalupe, Jalisco, Mexico, 19 Septemba 1900 - Tequila, Jalisco, 25 Februari 1928) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Meksiko hadi alipouawa na waliochukia upadri bila kesi wakati wa Vita vya Wakristero[1].

Thumb
Picha yake halisi.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 22 Novemba 1992 halafu mtakatifu mfiadini tarehe 21 Mei 2000 pamoja na wenzake 24 waliofia dini katika vita hivyo[2]:

Sikukuu yao inaadhimishwa kila tarehe 21 Mei ila ya kwake mwenyewe ni tarehe ya kifodini chake[3].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads