Toskana
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kwa mkoa wa Italia ya Kati, tazama Toscana.

Toskana (jina kamili la Kiitalia: Toscana de' Crescenti; Zevio, Italia, 1280 hivi - Verona, Italia, 14 Julai 1343/1344) alikuwa mwanamke Mkristo wa ukoo maarufu ambaye, kisha kufiwa mumewe (1318), aliwagawia fukara mali yake yote akajitosa kuhudumia wagonjwa katika familia ya kiroho ya Utawa wa Mt. Yohane[1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe ya kifo chake [2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads