Troa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Troa (kwa Kigiriki: Τρωάδα, Troáda; awali: Τρῳάς, Trōiás au Τρωϊάς, Trōïás; kwa Kituruki: Biga Yarımadası) ni jina la zamani la rasi ya Uturuki, kaskazini magharibi mwa rasi ya Anatolia.

Katika Biblia ya Kikristo
Mtume Paulo (akiwa na Sila) alifikia eneo hilo katika safari yake ya pili ya kimisionari, kutoka Galatia kwenda Makedonia.[1] Inawezekana huko Luka alianza kuongozana naye pia [2].
Ni huko Troa kwamba Paulo, wakati wa ibada ya Jumapili, alimfufua Eutiko kadiri ya Mdo 20:7-12[3].
Baadaye Paulo alitaja Troa alipomuandikia Timotheo amletee joho aliloliacha huko[4].
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads