Uhamisho mkuu wa Ulaya
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Uhamisho mkuu wa Ulaya ni kipindi cha historia ya bara hilo kuanzia mwaka 300 hivi hadi 600 hivi BK[1][2].

Katikati yake, Dola la Roma Magharibi lilikoma (476) na falme mbalimbali, hasa za Kijerumaniki, zilikuja kutawala maeneo yake[3], pengine hata kwa msaada wa Dola la Roma Mashariki lililoendelea hadi mwaka 1453.
Wakazi wa Dola la Roma lote walikuwa milioni 40 hivi, kati yao wahamiaji wengi[4] labda 750,000. Lakini hayo makundi ya watu 10,000 au 20,000 kila moja yalivamia dola hilo na kulisambaratisha [5].
Matokeo yake yalikuwa mengi, makubwa, na ya kudumu.
Remove ads
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads