Upigaji picha
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Upigaji picha (kwa Kiingereza Photography kutokana na maneno mawili ya Kigiriki: φωτός, phōtos, ambalo mzizi wake ni φῶς, phōs, "nuru"[1] na γραφή, graphé, "mwandiko" au "mchoro"[2] ambayo kwa pamoja yanamaanisha "kuchora kwa mwanga".[3]) ni teknolojia na sanaa ya kutengeneza picha za kudumu kwa kunasa mwanga au mionzi mingine, kwa njia ya kielektroni au ya kikemia.[4]

Kwa kawaida, lensi inatumika kuelekeza mwanga wa nje mpaka ndani ya kamera kwa muda fulani.
Matumizi ya picha hizo leo ni makubwa katika sekta nyingi.
Baada ya picha mgando (karne ya 19) binadamu alibuni pia picha za video (filamu).
Remove ads
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads