Alka

Familia ya ndege wa bahari wanaofanana na ngwini From Wikipedia, the free encyclopedia

Alka
Remove ads

Alka (kutoka Kiiceland: alka) ni ndege wa bahari wa familia Alcidae. Wanafanana na ngwini kwa sababu wana umbo na rangi sawa na hawa, pia mabawa mafupi lakini spishi ziliopo hadi sasa zinaweza kuruka angani kinyume na ngwini. Spishi nyingine zilozokwisha sasa zilikuwa zimepoteza uwezo kuruka angani (k.m. Great Auk). Wanatokea bahari za nusudunia ya kaskazini. Huzamia kabisa ili kukamata samaki, gegereka na krili. Huzaa katika makoloni kwa pwani zenye miamba. Jike hulitaga yai moja tu juu ya shubaka la mwamba au katika tundu.

Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi ...
Remove ads

Spishi za Afrika (na Ulaya)

Spishi za mabara mengine

Remove ads

Spishi za kabla ya historia

  • Alcodes (Mwisho wa Miocene ya Orange County, MMA)
  • Hydrotherikornis (Mwisho wa Eocene ya Oregon, MMA) – labda haimo katika Alcidae
  • Mancalla (Mwisho wa Miocene – mwanza wa Pleistocene ya Amerika ya Kaskazini-magharibi)
  • Miocepphus (Kati ya Miocene ya MMA ya mashariki)
  • Petralca (Mwanza? – mwisho wa Oligocene ya Austria)
  • Praemancalla (Mwisho wa Miocene – mwanza wa Pliocene ya Orange County, USA)
  • Pseudocepphus (Kati – mwisho wa Miocene)

Picha

Makala hii kuhusu "Alka" inatumia neno (au maneno) ambalo si kawaida na matumizi yake ni jaribio la kutafsiri neno (au maneno) la asili alka kutoka lugha ya Kiiceland. Neno (au maneno) la jaribio ni alka.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.

Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads