Oregon

jimbo la Marekani From Wikipedia, the free encyclopedia

Oregon
Remove ads

Oregon ni jimbo la Marekani upande wa magharibi-kazkazini ya nchi. Iko kwenye pwani la Pasifiki.Mji mkuu ni Salem na Portland ni mji mkubwa. Impekana na Washington, Idaho, Nevada na California. Jimbo lina wakazi wapatao 3,790,060 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 255,026.Miji muhimu baada ya Portland ni Eugene, Astoria, Medford na Bend.

Ukweli wa haraka Oregon, Jimbo ...
Remove ads
Thumb
Sehemu ya Jimbo la Oregon

Mlima Hood ni mlima mkubwa katika Oregon.

Thumb
Remove ads

Viungo vya Nje

Ukweli wa haraka


Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Oregon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads