Uziki

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Uziki ni nadharia ya siasa iliyoanzishwa na Nnamdi Azikiwe, aliyekuwa kati ya waanzilishi wa Nigeria na rais wake wa kwanza kuchaguliwa kidemokrasia. Azikiwe alifafanua siasa hiyo katika maandishi yake, kama vile: Renascent Africa (1973) na historia ya maisha yake: My Odyssey.

Muhtasari

Uziki unategemea misingi mitano kwa ukombozi wa Afrika:

  • Uwiano wa kiroho[1]
  • Jamii kuzaliwa upya[2]
  • Nia katika uchumi[3]
  • Ukombozi wa akili[4]
  • Ufufuko wa kisiasa[5]

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads