Viktorini wa Amiterno

From Wikipedia, the free encyclopedia

Viktorini wa Amiterno
Remove ads

Viktorini wa Amiterno (Amiterno, karne ya 3 hivi - Cittaducale, karne ya 4 hivi) anatajwa kama askofu wa kwanza wa Amiterno (leo katika mkoa wa Abruzzo, Italia) lakini jambo la hakika ni kwamba aliuawa kwa imani yake ya Kikristo[1].

Thumb
Masalia yake.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Julai.[2]

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads