Vincent Ferrer
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Vincent Ferrer (Valencia, Hispania, takriban 1350 – Nantes, Ufaransa, 5 Aprili 1419) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki na mtawa wa Shirika la Wahubiri.

Alisafiri sana kati ya miji ya Ulaya Magharibi, akishughulikia amani na umoja wa Kanisa akisaidia kumaliza Farakano la magharibi.
Aliwahubiria watu wengi sana Injili ya toba na ujio wa pili wa Yesu hadi mwisho wa maisha yake [1].
Mwaka 1455 alitangazwa na Papa Callixtus III kuwa mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo ya Kiswahili
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads