Papa Callixtus III
Papa kutoka 1455 hadi 1458 kutoka kwa familia ya Borgia From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Callixtus III (31 Desemba 1378 – 6 Agosti 1458) alikuwa Papa kuanzia tarehe 8/20 Aprili 1455 hadi kifo chake[1]. Alitokea Jativa, Hispania[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Alonso Borja.
Alimfuata Papa Nikolasi V akafuatwa na Papa Pius II.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads