Vindisiani
Askofu wa Cambrai-Arras From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Vindisiani (kwa Kilatini: Vindicianus; kwa Kifaransa: Vindicien; Bullecourt, leo nchini Ufaransa, 632 hivi – 712) alikuwa askofu wa pili wa Cambrai-Arras kuanzia mwaka 668[1] hadi kifo chake[2][3].

Alimtaka mfalme Teodoriko III afanye toba kwa kosa la kumuua Leodegar wa Autun.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads