Vinebadi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Vinebadi (Nogent-sur-Seine, karne ya 6 - Troyes, leo nchini Ufaransa, 620/623) alikuwa mmonaki mwenye maisha magumu sana.
Baada ya upadrisho, aliishi miaka mingi kama mkaapweke akajiunga na monasteri akawa abati wake[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads