Viro

From Wikipedia, the free encyclopedia

Viro
Remove ads

Viro (pia: Wiro, Wera, Vira; karne ya 7Roermond, Uholanzi ya leo, 700 hivi) alikuwa mmonaki askofu kutoka Ireland au Britania, maarufu kwa umisionari wake kati ya Wafrisia. Pamoja na wenzake Plekelmi askofu na Odgeri shemasi alianzisha monasteri alimofariki[1].

Thumb
Sanamu yake.
Thumb
Mt. Viro katika dirisha la kioo cha rangi.

Anaheshimiwa tangu kale kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Mei[2].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Vyanzo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads