Vulframi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Vulframi (alifariki Fontenelle, 20 Machi 703[1]) alikuwa mmonaki halafu askofu wa 27 wa Sens, Ufaransa, aliyefanya bidii kuinjilisha Wafrisia.

Baadaye aling'atuka na kurudi katika monasteri ya Wabenedikto hadi kifo chake[2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads