Vulmari
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Vulmari (pia: Ulmar, Vilmer, Vulmaire, Vulmar, Vulmarus, Wulmar; Boulogne, leo nchini Ufaransa, karne ya 7 - 689 hivi) alikuwa mchungaji duni na mtu wa ndoa ambaye, baada ya kunyang'anywa mke wake, akawa padri akaenda kuishi upwekeni. Hatimaye alianzisha monasteri mbili, moja kwa wanaume, nyingine kwa wanawake, katika misitu ya nchi yake [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Vyanzo
Marejeo mengine
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads