Wakiga
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Wakiga (kwa lugha yao: Abakiga, yaani watu wa mlimani) ni kabila la Kibantu wanaoishi kusini mwa Uganda na kaskazini mwa Rwanda, nchi yao asili.

Lugha yao ni Kikiga (Rukiga), mojawapo kati ya lugha za Kibantu.
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads