Wakonongo
kikundi cha lugha ya kikabila nchini Tanzania From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Wakonongo ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Wilaya ya Mpanda, Mkoa wa Katavi. Mwaka 1987 walikadiriwa kuwa 51,000 [1].
Miaka ya 1880, pamoja na Wagongwe, waliwashambulia Wapimbwe baada ya kifo cha Mtemi Kasogera wa Wapimbwe.[2]
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads