Walango
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Walango ni kabila la Waniloti wanaoishi kaskazini mwa Uganda (Wilaya ya Amolatar, Wilaya ya Alebtong, Wilaya ya Apac, Wilaya ya Dokolo, Wilaya ya Kole, Wilaya ya Lira, Wilaya ya Oyam na Wilaya ya Otuke).


Wanakadiriwa kuwa 2,628,000 hivi.
Lugha ya wengi wao ni Kilango (Leb-Lango), mojawapo kati ya lugha za Kiniloti.
Tanbihi
Vyanzo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads