Walter wa Esterp
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Walter wa Esterp (pia: Gautier, Gaultier, Gaucher, Gualtierus; Confolens, Aquitaine, 990 hivi - Esterp, Limousin, 11 Mei 1070) alikuwa padri wa jumuia nchini Ufaransa.
Kisha kulelewa vizuri kwa utumishi wa Mungu tangu utotoni, aliongoza kama abati hadi kifo chake monasteri akitoa mfano wa upole kwa wakanoni wenzake na upendo kwa maskini [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads