Wanyamwezi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Wanyamwezi
Remove ads
Remove ads

Wanyamwezi ni kabila la watu wa Tanzania walio wenyeji wa mikoa ya Tabora, Shinyanga, lakini wameenea pia katika ile ya Mwanza, Simiyu, Geita na mingineyo.

Thumb
Wanyamwezi mwaka 1860.

Lugha yao ni Kinyamwezi.

Vyakula vikuu vya kabila hilo ni ugali, michembe (matobolwa), pamoja na viazi vitamu.

Pengine anaitwa Mnyamwezi mtu yeyote yule mjanjamjanja miongoni mwa vijana, kama vile kijana anayejua kuvaa vizuri, asiyependa kufuatilia mambo ya watu wengine na anayeweza kuwafahamisha wenzie na kuwafanya waelewe juu ya jambo fulani bila ya ukakasi.

Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wanyamwezi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads