Waterik
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Waterik ni jina la kabila dogo la Waniloti ambalo huhesabiwa katika kabila kuu la Wakalenjin.
Wanakadiriwa kuwa 120,000[1] na kuishi hasa katika kaunti ya Kakamega na kaunti ya Nandi nchini Kenya.
Lugha
Wao huongea Kiterik, lahaja ya lugha ya Kikalenjin, mojawapo ya lugha za Kiniloti.
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads