Wateso
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Wateso ni kabila kubwa la watu (4,000,000 hivi) wa jamii ya Waniloti wanaoishi mashariki mwa Uganda na magharibi mwa Kenya.

Lugha yao ni Kiteso, mojawapo kati ya lugha za Kiniloti.
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads