Watooro
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Watooro (kwa Kitooro au Rutooro: Abatooro) ni kabila la Kibantu linaloishi magharibi mwa Uganda, katika wilaya za Kabarole, Kamwenge, Kyegegwa na Kyenjojo ambazo kwa jumla zina wakazi 1,000,000.
Wanahusiana sana na Wanyoro.
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads