Wanyoro

From Wikipedia, the free encyclopedia

Wanyoro
Remove ads

Wanyoro (kwa Kinyoro au Runyoro: Banyoro (umoja: Munyoro)) ni kabila la mashariki mwa Uganda linaloongozwa na mfalme (omukama)[1], kwa sasa Solomon Iguru I, ambaye ni wa 27 kwa Bunyoro-Kitara.[2] Ufalme wa Bunyoro uliwahi kuwa na nguvu sana katika Afrika Mashariki na ya Kati kuanzia karne ya 13 hadi ile ya 19. It is ruled by the Omukama of Bunyoro.

Thumb
Eneo la Bunyoro leo.

Zamani uchumi ulitegemea uwindaji wa tembo, simba, chui na mamba. Siku hizi Wanyoro ni hasa wakulima wanaozalisha ndizi, mtama, mhogo, yam, pamba, tumbaku, kahawa na mpunga.

Wanakadiriwa kuwa 1,400,000. Wengi wao ni Wakristo.

Remove ads

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads