Winoko
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Winoko (kwa Kifaransa: Winoc, Winok, Pinnock; awali: Wynnocus, Winnocus, Uinnoc, Uinoc; Bretagne, leo nchini Ufaransa, 640 hivi - Wormhoudt, leo nchini Ufaransa, 6 Novemba 716) alikuwa mmonaki mwanafunzi wa Bertino wa Sithieu huko Therouanne kuanzia mwaka 690 hivi. Baadaye aliruhusiwa kuanzisha monasteri ambayo aliijenga kwa mikono yake akaiongoza kitakatifu na ndimo alimofariki.[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads