Yohane Stone
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Yohane Stone (aliuawa Canterbury, Uingereza, 1539) alikuwa padri wa shirika la Waaugustino aliyeshikilia imani sahihi na kupinga uamuzi wa mfalme Henri VIII wa kutenga wananchi wake na Kanisa Katoliki hadi akanyongwa na kuchanwachanwa chini ya sheria[1][2].

Papa Paulo VI tarehe 25 Oktoba 1970 alimtangaza kuwa mtakatifu mfiadini pamoja na wenzake 39.
Sikukuu yake ni tarehe 23 Desemba[3] lakini pia 12 Mei na 25 Oktoba.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads