Yosefu Allamano

From Wikipedia, the free encyclopedia

Yosefu Allamano
Remove ads

Yosefu Allamano (Castelnuovo Don Bosco, Asti, 21 Januari 1851Torino, 16 Februari 1926) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Italia.

Thumb
Picha halisi Mt. Yosefu Allamano.
Thumb
Patakatifu pa Konsolata mjini Torino.

Baada ya baba yake kufariki mapema, alilelewa Kikristo sana na mama yake, dada wa mtakatifu padri Yosefu Cafasso, halafu na mtakatifu padri Yohane Bosco.

Kisha kupata upadrisho, akihudumia patakatifu pa Bikira Maria "Konsolata" (yaani "Mfarijiwa") alianzisha mashirika mawili ya kitawa yenye karama ya umisionari: Wamisionari wa Consolata (I.M.C.) kwa wanaume, na Masista Wamisionari wa Consolata kwa wanawake[1].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 7 Oktoba 1990, halafu Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu tarehe 20 Oktoba 2024.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Februari[2].

Remove ads

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads