Yosefu Benedikto Cottolengo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Yosefu Benedikto Cottolengo (Bra, 3 Mei 1786 - Chieri, 30 Aprili 1842) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki huko Piemonte, leo nchini Italia, aliyetegemea kabisa Maongozi ya Mungu katika huduma zake kwa maskini, wagonjwa na wakiwa wa kila aina alizozitoa katika Nyumba Ndogo ya Maongozi ya Mungu pia kupitia mashirika matatu aliyoyaanzisha ili kuendeleza huduma hizo [1].

Wafuasi wake wanatoa huduma hizo hata Dar es Salaam, Tanzania.
Alitangazwa na Papa Benedikto XV kuwa mwenye heri tarehe 29 Aprili 1917, halafu na Papa Pius XI kuwa mtakatifu tarehe 19 Machi 1934.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo ya Kiswahili
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads