You'll Rock
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
You'll Rock ni single ya tano kutoka katika albamu ya kwanza ya LL Cool J, You'll Rock. Ilitolewa mnamo mwaka wa 1985 katika studio ya Def Jam Recordings na ilitungwa na kutayarishwa na Rick Rubin na LL Cool J. Wimbo ulihahakiwa kuwa kwamba ndiyo wa nne katika single zote kutoka albamu na wa mwisho kupata mafanikio katika orodha hiyo, kwa kushika kilele cha #59 kwenye chati za Hot R&B/Hip-Hop Songs.
Remove ads
Orodha ya nyimbo
A-Side
- "I Need A Beat"- 4:59
B-Side
- "You'll Rock" (Remix)- 4:32
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads