Radio (albamu)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Radio ni albamu ya kwanza ya rapa wa Kimarekani, LL Cool J. Albamu ilitolewa tar. 18 Novemba 1985 kwenye studio ya Def Jam Recordings huko nchini Marekani. Kipindi cha kurekodi albamu imechukua nafasi baina ya 1984 na 1985 katika Chung King House of Metal huko mjnii New York City. Albamu ilitayarishwa kabisa na Rick Rubin, ambaye ametoa maneno machache na staili nzima ya utayarishaji. Radio pia imewekewa mikwaruzo kadhaa ya ya DJ, zaidi iliwekewa visampuli kadhaa.
Remove ads
Orodha ya nyimbo
Nyimbo zote zimeandikwa na James Todd Smith/Rick Rubin, kasoro zile zilizowekewa maelezo tu.
Remove ads
Chati
Mwaka | Chati | |
Billboard 200 | Top R&B/Hip Hop Albums | |
1985 | #46 | #6 |
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads