Yun Hyon-seok
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Yun Hyon-seok(Kikorea:윤현석 尹賢碩) (7 Agosti 1984 - 26 Aprili 2003) alikuwa mwanaharakati wa haki za binadamu, mshairi na mwandishi wa nchi ya Korea Kusini.
Alikuwa na jina la utani Yukwudang(육우당 六友堂, Marafiki sita nyumbani[1]), Sulheon(설헌 雪軒), Midong(미동 美童[2], uzuri kijana).
Alizaliwa mjini Byupyong, mkoani Incheon, kwenye pwani ya Korea Kusini.
Alikufa kwa kujinyonga jijini Dongdaemun wa Seoul, kwa sababu maandamano ya homo phobia wa Korea Kusini.
Remove ads
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads