Auzegera
From Wikipedia, the free encyclopedia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Auzegera ulikuwa mji wa Roma ya Kale katika jimbo la Afrika ya Kiroma, baadaye jimbo la Byzacena. Ilikuwa pia dayosisi ya Kanisa Katoliki[1][2] , askofu wake alikuwa chini ya askofu mkuu wa Karthago[3].
Magofu yake yanapatikana kwenye korongo kavu la jangwa la Tunisia kusini katika eneo linaloitwa sasa Henchir-El-Baguel.[4]
Tangu mwaka 1933 Kanisa Katoliki lilianza kutumia tena jina la Auzegera kwa ajili ya maaskofu wasio na dayosisi hai[5].
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.