Adalardo wa Corbie
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Adalardo wa Corbie (751 hivi - 2 Januari 827) alikuwa mjukuu wa Karolo Nyundo kama kaisari Karolo Mkuu.

Alijiunga na monasteri na kuwa abati nchini Ufaransa, lakini kwa muda fulani alitakiwa pia kuwa waziri mkuu wa ufalme wa Italia.
Alijitahidi kila mmoja apate mahitaji yake, yaani kusiwe na mtu mwenye mali ya ziada wala chochote kisichezewe, bali kila kitu kishirikishwe kwa sifa ya Mungu[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads