Adelelmo

From Wikipedia, the free encyclopedia

Adelelmo
Remove ads

Adelelmo, O.S.B. (pia: Elesmo, Aleaunie au Lesmes; Loudun, Poitou, Ufaransa, 1035 hivi - Burgos, Hispania, 1097 hivi) alikuwa kwanza askari, baadaye mmonaki padri aliyehudumia kama abati kwanza nchini mwake, halafu huko Burgos kisha kugeuza kanisa na hosteli[1] kuwa monasteri[2][3].

Thumb
Mt. Adelelmo alivyochorwa katika kanisa kuu la Burgos.

Tangu zamani anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 30 Januari[4].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads