Adhuhuri
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Adhuhuri (kutoka Kiarabu الظهر) ni kipindi cha mchana ambapo jua liko juu zaidi, baina ya asubuhi na alasiri.


Adhuhuri ni kipindi kati ya saa sita na saa nane za mchana[1].
Kinyume chake ni usiku kati.
Kwa kawaida binadamu anatumia nafasi hiyo kupumzika kidogo na kupata chakula kabla hajaendelea na kazi.
Vivyo hivyo, dini mbalimbali, hasa Ukristo na Uislamu, zinamuelekeza kumkumbuka zaidi Mungu kwa kusali kidogo.
Remove ads
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads