Usiku kati

From Wikipedia, the free encyclopedia

Usiku kati
Remove ads

Usiku kati ni nukta inayotenganisha siku moja na nyingine katika hesabu ya binadamu.

Thumb
Mashangilio ya usiku kati ulioingiza mwaka mpya 2007 (Sydney, Australia, 1 Januari 2007).

Inatokea kila baada ya saa 24.

Kwa namna ya pekee inaadhimishwa pale inapotenganisha siku ya mwisho ya mwaka, karne au milenia na ile ambayo ni mwanzo wa mwaka, karne au milenia nyingine.

Maelezo zaidi Vipindi vya siku ...
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads