Mchana

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Mchana ni kipindi chote cha siku ambapo nuru ya jua inaangaza sehemu fulani ya dunia.

Thumb
Picha iliyotengenezwa kwa tarakilishi ili kuonyesha jinsi jua linavyoonekana kusogea, pamoja na matokeo yake kwa mandhari.

Kinyume chake ni usiku.

Kwa wakati mmoja, jua linaangaza karibu nusu ya dunia. Huko ni mchana, kumbe katika nusu ya pili ni usiku.

Kwa binadamu na wanyama wengi ndio wakati wa utendaji mwingi zaidi.

Maelezo zaidi Vipindi vya siku ...
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads