Aishwarya Rai

From Wikipedia, the free encyclopedia

Aishwarya Rai
Remove ads

Aishwarya Rai (jina lake kamili: Aishwarya Rai Bachchan; amezaliwa Mangalore, Karnataka, India, 1 Novemba 1973) ni mwanamitindo, Miss India 1994 na mwigizaji maarufu wa Bollywood kutoka Uhindi.

Ukweli wa haraka Amezaliwa, Kazi yake ...
Remove ads

Filamu

Maelezo zaidi Filamu, Mwaka ...
Remove ads

Tuzo

Tuzo za kutoka India

  • 1994 – Miss India World
  • 2000 – Smita Patil Memorial Award for Best Actress.[51][52]
  • 2002 – The Times of India ilimtuza Aishwarya Rai kwenye "100 Most Beautiful Indian Women in the Past Century".
  • 2002 – Rajiv Gandhi Award for Excellence in Field of Entertainment.[53]
  • 2003 – V. Shantaram Awards – Best Actress kwa ajili ya uigizaji wake kwenye filamu ya Devdas[54]
  • 2004 – GR8! Women Award for Contribution to Cinema(Special Laurel).[55]
  • 2007 – Femina "Most Powerful Indian Woman".[56]
  • 2008 – ALichaguliwa na Verve "Most Powerful Women" [57]
  • 2009 – V. Shantaram Awards – Best Actress kwenye filamu ya Jodhaa Akbar[58]
  • 2009 – Padma Shri, kutoka kwa serikali ya India, kwa ajili ya uigizaji wake.[59][60][61][62]
  • 2009 – Verve "Most Influential Indian Woman".[63]
  • 2009 – Alituzwa kama "The Most Powerful Female Actor in India". [64][65][66][67]
  • 2009 – Filmfare "Most Beautiful People".[68]
  • 2010 – India Today Women Award for Global Achievement.[69]
  • 2010 – GR8! Women Award for Social services and international recognition.[70]
  • 2010 – Teacher's Achievement Award .[71]
  • 2011 – Femina "India's Most Beautiful Woman".[72]
  • 2011 – FICCI Frames Excellence Awards – Decade of Global Achievement.[73]
  • 2011 – FICCI Frames Award of a Decade of Global Achievement[74]
  • 2011 – Alituzwa na Mbunge B. S. Yeddyurappa kwenye sherehe ya Vishwa Kannada Sammelana kwa uigizaji wake.
  • 2012 – Alikuwa #2 kwenye "5 Indian Women Who Became Role Models Of Empowerment" pamoja na Mother Teresa, Kalpana Chawla, Indra Nooyi na Indira Gandhi.[75]
  • 2013 – Giant Award - Outstanding Contribution to Indian Cinema [76][77]
  • 2013 –"Most Popular Actress"(Nambari #1) kwenye Filmfare]] 100 years of cinema.
  • 2013 – Alikuwa #2 kwenye "Top 5 Global Icon" in Filmfare]] 100 years of cinema.
  • 2014 – Asiavision Awards - Icon Of India.[78][79]
  • 2014 – The Times Of India's Forever Desirable woman.[80]
  • 2015 – Hello! "India's Most Beautiful".[81]
  • 2016 – Outlook Business Outstanding Women Awards - Outstanding Celebrity Woman of the Year.[82][83]
  • 2016 – Non-resident Indian and person of Indian origin – Global Indian of the Year Award [84]
  • 2016 – Gauravvanta Gujarati Award
  • 2017 – Femina "Most Beautiful Indian Woman".[85]
  • 2017 – Dadasaheb Phalke Award - Best Actress kwenye filamu ya Sarbjit [86][87]
  • 2018 – 20 January 2018, Aishwarya Rai alituzwa na Rais wa India Ram Nath Kovind.[88][89][90][91][92][93]
  • 2018 – Aprili 2018, Aishwarya Rai alipewa tuzo ya "Woman of Substance".[94][95][96]
  • 2018 – Femina "India's Most Beautful Woman 2018" [97][98]

Tuzo za kutoka nje ya India

  • Mnamo 1991, Rai alishinda tuzo ya International Ford Supermodel Contest alipokuwa na miaka 17.[99]
  • Aishwarya Rai alikuwa mshindi wa Miss World 1994.[100][101]
  • Aishwarya Rai ni Longines Ambassador of Elegance tangu 1999.[102]
  • Alipata tuzo ya Most Beautiful Miss World of All Times – alipata alama 9.911, mnamo 2000.[103]
  • Aishwarya Rai alitajwa kama "The Queen of Cannes" kwenye Cannes Film Festival.[104][105][106][107][108][109] In 2002, her film
  • Mnamo Aprili 2003, alikuwa mwigizaji wa kwanza wa kutoka India kupewa tuzo la L'Oréal Paris International Brand Ambassador.[110]
  • Alipigiwa kura ya Hello Magazine World's Most Attractive Woman mnamo 2003.[111][112][113]
  • Aishwarya Rai alikuwa mwigizaji wa kwanza wa kutoka India kupewa tuzo ya Time magazine's 100 Most Influential People In The World (The 2004 TIME 100).[114][115][116]
  • Alikuwa kwenye Guinness Book of World Records mnamo 2004.
  • Aishwarya Rai won the Global Foreign Artiste Debutantes to Mainstream Media Award in 2004 and honoured in the awards brochure for having excelled in more than one field either through film, music, fashion, or any other combined field. She also honoured as the Highest Profile South Asians Achiever in global media.[117]
  • Mnamo 2008, Aishwarya alituzwa na stesheni ya E!: Entertainment Television sexiest on their Sexiest Body Parts list.[118]
  • Mnamo 2012, alipokea tuzo ya Ordre des Arts et des Lettres kutoka kwa serikali ya Ufaransa.[119] Earlier she refused it because her father was suffering from a serious illness, and she wanted her whole family to attend the award ceremony.[120]
  • Alikuwa #60 kwenye Most Desired Woman List by Askmen.com, mnamo 2009.[121]
  • Mnamo 2009, Rai alichaguliwa kama Global Goodwill Ambassador of Smile Train.[122][123] In March 2018, Aishwarya Rai and Smile Train celebrated free cleft surgeries treatment of 5,00,000 children.[124][125]
  • Mnamo 2010, alikuwa #63 kwenye orodha ya Most Desired Woman List by Askmen.com.[126]
  • Kwa mara ya pili, alikuwa kwenye orodha ya Time Magazine's 100 Most Influential People in the World, mnamo 2010.[127]
  • ALikuwa kwenye orodha ya Most beautiful Miss World of All Times kwa mara ya pili, mnamo 2010.[128]
  • Mnamo Juni 13, 2010, Aishwarya Rai na mumewe Abhishek Bachchan walichaguliwa na E! News Asia kwenye tuzo la Most Powerful Celebrity Couple in Asia.[129][130]
  • Mnamo Disemba 2012, E!News walimtuza Aiswarya na mumewe Abhishek Bachchan kwenye orodha ya World's Sexiest Couples.
  • Mnamo 2012, Aishwarya Rai alichaguliwa kama International Goodwill Ambassador for UNAIDS.[131]
  • Mnamo 2014, Aishwarya Rai alikuwa nambari ya nne kwenye orodha ya "World's Most Beautiful Women".[132][133][134]
  • Mnamo Septemba 2018,Aishwarya Rai alikuwa mwigizaji wa kwanza kutuzwa tuzo la Meryl Streep Award for Excellence at the first Women in Film and Television[135][136][137][138]

Miss World

Mshindi

  • 1994 – Miss World 1994.
  • 1994 – Miss World Continental Queen of Beauty − Asia and Oceania.[100]
  • 1994 – Miss Photogenic.[139]
  • 2000 – Most Beautiful Miss World of All Times[103]
  • 2014 – Most Successful Miss World of All Times.[140][141][142]
  • 2014 – Lifetime Beauty With a Purpose Award[143][144]

Miss India

Mshindi

  • 1994 – Miss India World
  • 1994 – Miss Photogenic
  • 1994 – Miss Perfect Ten
  • 1994 – Miss Catwalk
  • 1994 – Miss Popular
  • 1994 – Miss Miraculous

Filmfare Awards

Mshindi

  • 2000 – Filmfare Best Actress Award – Hum Dil De Chuke Sanam
  • 2003 – Filmfare Best Actress Award – Devdas

Aliteuliwa

  • 1998 – Filmfare Award for Best Actress – Tamil – Jeans
  • 2000 – Filmfare Best Actress Award – Taal
  • 2001 – Filmfare Best Actress Award – Hamara Dil Aapke Paas Hai
  • 2001 – Filmfare Award for Best Supporting Actress – Mohabbatein
  • 2005 – Filmfare Best Actress Award – Raincoat
  • 2007 – Filmfare Best Actress Award – Dhoom 2
  • 2008 – Filmfare Best Actress Award – Guru
  • 2009 – Filmfare Best Actress Award – Jodhaa Akbar
  • 2011 – Filmfare Best Actress Award – Guzaarish
  • 2017 – Filmfare Best Actress Award – Sarbjit

Screen Awards

Mshindi

  • 1998 – Screen Award for Best Female Debut – Aur Pyar Ho Gaya[145]
  • 1998 – Star Screen Awards|Screen Awards - Discovery of the year
  • 2000 – Screen Award for Best Actress – Hum Dil De Chuke Sanam[145]
  • 2003 – Screen Award for Jodi No. 1 – Devdas (pamoja na Shahrukh Khan)[145]
  • 2003 – Screen Award for Best Actress – Devdas[145]
  • 2009 – Screen Award for Best Actress (Popular Choice) – Jodhaa Akbar[146]
  • 2011 – Screen Award for Jodi No. 1 – Guzaarish (pamoja na Hrithik Roshan)[147]

Aliteuliwa

  • 2000 – Screen Award for Best Actress – Taal
  • 2001 – Screen Award for Best Actress – Hamara Dil Aapke Paas Hai
  • 2001 – Screen Award for Best Supporting Actress – Mohabbatien
  • 2005 – Screen Award for Best Actress – Raincoat
  • 2007 – Screen Award for Best Actress – Dhoom 2[148]
  • 2007 – Screen Award for Jodi No. 1 – Dhoom 2 (pamoja na Hrithik Roshan)
  • 2008 – Screen Award for Best Actress – Guru[149]
  • 2009 – Screen Award for Best Actress – Jodhaa Akbar[150]
  • 2009 – Screen Award for Jodi No. 1 – Jodha Akbar (pamoja na Hrithik Roshan)
  • 2011 – Screen Award for Best Actress – Guzaarish[151]
  • 2016 – Screen Award for Best Actress (Popular Choice) – Jazbaa.[152]
  • 2017 – Screen Award for Best Supporting Actress – Ae Dil Hai Mushkil

Zee Cine Awards

Mshindi

  • 2000 – Lux Face of the Year
  • 2000 – Zee Cine Award for Best Actor – Female kwa ajili ya filamu Hum Dil De Chuke Sanam[153]
  • 2003 – Zee Cine Award for Best Actor – Female kwenye filamu ya Devdas[154]
  • 2003 – Zee Cine Awards|Zee Cine Awards – True Indian Beauty Award[154]
  • 2005 – Zee Cine Critics Award - Best Actress – Raincoat[153]
  • 2011 – Zee Cine Critics Award - Best Actress – Guzaarish[155]

Aliteuliwa

  • 2000 – Zee Cine Award for Best Actor – Female kwenye Taal
  • 2001 – Zee Cine Award for Best Actor – Female kwenye Hamara Dil Aapke Paas Hai
  • 2005 – Zee Cine Award for Best Actor – Female kwenye Raincoat
  • 2007 – Zee Cine Award for Best Actor – Female kwenye Umrao Jaan
  • 2008 – Zee Cine Award for Best Actor – Female kwenye Guru
  • 2011 – Zee Cine Award for Best Actor – Female kwenye Guzaarish

Stardust Awards

Mshindi

  • 2015 – Stardust Power-packed Performer of the Year – Jazbaa [156]
  • 2016 – Stardust Editor's Choice Most Iconic Performance of the Year – Sarbjit [157][158]

Nominated

  • 2005 – Stardust Star of the Year Award – Female kwenye filamu ya Raincoat
  • 2008 – Stardust Star of the Year Award – Female kwenye filamu ya Guru
  • 2009 – Stardust Star of the Year Award – Female kwenye filamu ya Sarkar Raj
  • 2009 – Stardust Star of the Year Award – Female kwenye filamu ya Jodha Akbar
  • 2011 – Stardust Star of the Year Award – Female kwenye filamu ya Guzaarish[159]
  • 2016 – Stardust Best Supporting Actress Award – Ae Dil Hai Mushkil
  • 2016 – Stardust Performer of the year (Female) – Sarbjit [160]

BIG Star Entertainment Awards

Mshindi

  • 2010 – BIG Star – Film Actor (Female) of the Decade[161]

Aliteuliwa

  • 2010 – BIG Star – Most Entertaining Film Actor (Female) kwenye filamu ya Guzaarish[162]
  • 2015 – BIG Star – Most Entertaining Actor in an Action Role - Male/Female kwenye filamu ya Jazbaa

Washington DC Area Film Critics Association Awards

Aliteuliwa

  • 2005 - Washington D.C. Area Film Critics Association Award for Best Breakthrough Performance kwa ajili ya filamu ya Bride and Prejudice.

International Film Festival and Awards of Australia

Mshindi

  • 2017 – IFFAA Best Actress Award - Sarbjit

Vogue Beauty Awards

Mshindi

  • 2011 – Vogue Beauty Awards – Global Beauty Icon award.[163]
  • 2017 – Vogue Beauty Awards – Most Beautiful Global Indian Icon of the decade [164]
  • 2017 – Vogue Women Of The Year Awards – Influencer of the Decade[165]
Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads