Akua Asabea Ayisi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Akua Asabea Ayisi (3 Aprili 1927 - 21 Aprili 2010) alikuwa mpenda maendeleo ya wanawake, Jaji wa zamani wa Mahakama Kuu na mwanahabari wa kwanza mwanamke kutoka Ghana. [1] Wakati wa kuibuka kwa vuguvugu la kupigania uhuru wa Ghana, Akua Asabea Ayisi alifunzwa kama mwandishi wa habari na Mabel Dove-Danquah na Kwame Nkrumah, ambaye baadaye alikuwa waziri mkuu na Rais wa kwanza wa nchi.

Ukweli wa haraka Amezaliwa, Nchi ...

Nafasi ya Ayisi kama mhariri wa safu ya wanawake, ambayo iliangazia masuala ya wanawake, katika gazeti la Accra Evening News ilionekana ni hatua kubwa kwa wakati huo. [2]

Remove ads

Familia na Maisha

Akua Asabea Ayisi alizaliwa tarehe 3 Aprili 1927, huko Mampong Akwapem na alikuwa mtoto wa nane kati ya kumi kwa wazazi wao Mercy Adebra Mensah na Okyeame Kofi Ayisi.

Kofi Ayisi alikuwa mwanaisimu (mtaalamu wa lugha) wa Mfalme, pia alikuwa jamaa yake na mfalme. Baadhi ya wajomba zake Akua Asabea Ayisi walikuwa waganga wa kifalme. Kofi Ayisi alikuwa na watoto 70, Mercy Adebra alikuwa na 10 kati ya hao. Mamake Ayisi, babu yake Mercy Adebra, Tetteh Quarshie alipanda mti wa kwanza wa kakao nchini Ghana. Mercy Adebra, mwanamke shupavu aliyetaka kujitegemea, hatimaye alimwacha Kofi Ayisi na kuhamia Accra kuwa karibu na familia yake iliyokuwa Gas . [3]

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads