3 Aprili
tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tarehe 3 Aprili ni siku ya 93 ya mwaka (ya 94 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 272.
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio
Waliozaliwa
- 1913 - Per Borten, mwanasiasa wa Norwei
- 1924 - Marlon Brando, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 1930 - Helmut Kohl, Waziri Mkuu wa Ujerumani (1982-1998)
- 1961 - Eddie Murphy, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1961 - Mwinchoum Abdulrahman Msomi, mwanasiasa wa Tanzania
Waliofariki
- 1253 - Mtakatifu Richard wa Chichester, askofu
- 1287 - Papa Honorius IV
- 1682 - Bartolomé Esteban Murillo, mchoraji kutoka Hispania
- 1868 - Franz Berwald, mtunzi wa muziki kutoka Uswidi
- 1897 - Johannes Brahms, mtunzi wa muziki kutoka Ujerumani
- 1966 - Russel Crouse, mwandishi kutoka Marekani
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Sisto I, Kresto na Papo, Ulpiani wa Turo, Yohane wa Napoli, Niseta wa Medikion, Yosefu Mtungatenzi, Richard wa Chichester, Luigi Scrosoppi n.k.
Viungo vya nje
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 3 Aprili kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads