Atenogene

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Atenogene (Epiklesoi, katika Armenia Ndogo, karne ya 3 - Sebaste, leo Sivas, Uturuki, 303 hivi) alikuwa korepiskopo wa Pedachtoë[1] ambaye aliwaachia wanafunzi wake utenzi juu ya Umungu wa Roho Mtakatifu akachomwa moto katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano [2].

Ndiyo sababu anaheshimiwa na madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Julai[3] au 24 Juni[4].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads