Ausani

From Wikipedia, the free encyclopedia

Ausani
Remove ads

Ausani wa Milano (alifariki Milano, Italia Kaskazini, 560 hivi) alikuwa askofu wa 28 wa mji huo tangu mwaka 558 hivi hadi kifo chake[1].

Thumb
Sanamu yanamotunzwa masalia yake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Septemba[2].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads