Ayman al-Zawahiri
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ayman Mohammed Rabie al-Zawahiri (kwa Kiarabu: أيمن محمد ربيع الظواهري 'ʾAyman Muḥammad Rabīʿ aẓ-Ẓawāhirī'; amezaliwa 19 Juni 1951) ni gaidi kutoka nchini Misri anayejulikana kwa kuwa kiongozi wa kundi la kigaidi la al-Qaeda tangu Juni 2011, alipomrithi Osama bin Laden kufuatia kifo chake[1], na ni mwanachama wa sasa au wa zamani na afisa mwandamizi wa mashirika ya Kiislamu ambayo yameandaa na kutekeleza mashambulio katika Asia, Afrika, Mashariki ya Kati na mengine Amerika ya Kaskazini na Ulaya.
Mnamo mwaka wa 2012, aliwataka Waislamu kuwateka nyara watalii wa Magharibi katika nchi za Waislamu[2].
Tangu mashambulio ya 11 Septemba 2001, serikali ya Marekani imeahidi kutoa zawadi ya Dola za Kimarekani milioni 25 kwa atakayetoa habari zinazosababisha kukamatwa kwa al-Zawahiri. Anatafutwa katika nchi nyingi za dunia.
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads