Blunted on Reality

From Wikipedia, the free encyclopedia

Blunted on Reality
Remove ads

Blunted on Reality ni albamu ya kwanza ya kundi la muziki wa hip hop la Marekani, The Fugees. Ingawa albamu ilimaliziwa kunako 1992, ikawa inarejeshwa kwa mara kadhaa hadi hapo ilipokuja kutolewa rasmi mwanzoni mwa mwaka wa 1994. Baada ya kupata maslahi ya kimataifa kwa albamu yao iliyofuatia mwaka 1996, The Score, albamu hii ikaja kuuza kopi zaidi ya milioni nne kwa hesabu ya dunia nzima.

Ukweli wa haraka Studio album ya The Fugees, Imetolewa ...
Remove ads

Orodha ya Nyimbo

Maelezo zaidi #, Jina ...
Remove ads

Single za albamu

Maelezo zaidi Single information ...

Chati

Albamu

Maelezo zaidi Chati (1994), Nafasi Iliyoshika ...

Chati za Single

Maelezo zaidi Mwaka, Song ...

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads