Wilaya ya Busega
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Wilaya ya Busega ni mojawapo kati ya wilaya 6 za mkoa mpya wa Simiyu, ambavyo vyote vilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012, yenye postikodi namba 39500 [1]. Maeneo yake yalikuwa sehemu za Wilaya ya Magu, Mkoa wa Mwanza. [2].
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, wilaya ilikuwa na wakazi wapatao 203,597 waishio humo. Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 282,167 [3].
Makao makuu ya wilaya yako Nyashimo.
Remove ads
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads