Colby O'Donis
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Colby O'Donis Colón (amezaliwa tar. 14 Machi 1989) ni mtunzi wa nyimbo za pop, R&B, na hip hop kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Colby O'Donis.
Remove ads
Wasifu
Maisha ya awali (kwa ufupi)
Alizaliwa mjini Marble Hill sehemu ya The Bronx, New York, akiwa na asili kamili ya Kipuerto Rico na Kiguyana.[1] Wazazi wa Colby waligundua kipaji cha mtoto wao akiwa na umri wa miaka 3 pale aliposhinda shindano la watoto wenye vipaji kwa kuimba wimbo wa Michael Jackson.
Mara nyingine pia alikuwa akitumbuiza kwa kujifurahisha kila Jumamosi na Jumapili katika kiduka cha baba yake kilichopo mjini Queens.[2]
Remove ads
Shughuli za muziki
Muziki
Albamu zake
- Colby O (2008)
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads