Guyana

From Wikipedia, the free encyclopedia

Guyana
Remove ads

--Kwa mkoa wa jirani wa Ufaransa angalia makala Guyani ya Kifaransa--

Ukweli wa haraka


Guyana ni nchi huru katika Amerika Kusini. Imepakana na Suriname upande wa mashariki, na Brazil upande wa kusini na kusini-magharibi halafu na Venezuela upande wa magharibi.

Ni nchi ndogo ya tatu barani.

Mji mkuu ni Georgetown.

Remove ads

Watu

Wakazi wengi wana asili ya India (43.5%) na ya Afrika (30.2%). Asilimia 16.7 ni machotara na 9.1 ni Waindio.

Guyana ni nchi pekee katika Amerika Kusini inayotumia Kiingereza kama lugha rasmi. Hata hivyo lugha ya kawaida ni aina ya Krioli ambayo ndiyo lugha ya taifa.

Upande wa dini, wengi (57%) ni Wakristo wa madhehebu mbalimbali, wakifuatwa na Wahindu (28%) na Waislamu (7%).

Tazama pia

Viungo vya Nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Serikali

Taarifa za jumla

Nyongeza

Nchi na maeneo ya Amerika Kusini

Argentina | Bolivia | Brazil | Chile | Ekuador | Guyana | Guyani ya Kifaransa | Kolombia | Paraguay | Peru | Surinam | Uruguay | Venezuela

Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Guyana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads