Cuthbert Mayne
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Cuthbert Mayne (Youlston, 1544 – Launceston, 30 Novemba 1577) alikuwa mchungaji wa Kanisa la Anglikana nchini Uingereza kabla hajajiunga na Kanisa Katoliki na kupewa daraja takatifu ya upadri.

Alifanya utume wake huko Cornwall hadi alipotangaza hati ya Papa.
Hii ilimsababisha kuuawa chini ya sheria ya malkia Elizabeth I, akiwa mfiadini wa kwanza kati ya wanafunzi wa Seminari ya Kiingereza ya Douai[1].
Mwaka 1970 alitangazwa na Papa Paulo VI kuwa mtakatifu mfiadini.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads