Cuthbert wa Lindisfarne
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Cuthbert wa Lindisfarne (634 hivi – 20 Machi 687) alikuwa Mkristo mwenye juhudi kama mmonaki, kama askofu na hatimaye kama mkaapweke [1] mipakani mwa Uingereza na Uskoti wa leo[2] .
Alifaulu kupatanisha msimamo mkali wa Ukristo wa Kiselti na desturi za Kanisa la Roma [3].
Tangu kale anaadhimishwa kama mtakatifu, hasa tarehe 20 Machi[4], lakini pia 31 Agosti na 4 Septemba.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo ya Kiswahili
Marejeo ya lugha nyingine
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads